Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Na harufu mdomoni unapambana nayo vipi?![]()
Nipo natafuna tu,husaidia kutibu mafua makavu. Ukitoka sehemu ya baridi hali hii inasumbua sana,hasa kwenye koo kunakuwa kama kuna vumbi
SYB habari ya majukumu? Karibu mkuuKitambi kuisha kwa siku 7 mmmh. Mirakozzzz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maziwa huwa yanaondoa kabisa harufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na harufu mdomoni unapambana nayo vipi?
Nipo salama shemeji. Majukumu yapo na hayeshi. Umeanza kupazoea Dar? Umeshapata mahindi yaliyotiwa pilipili na maembe yenye chumvi?SYB habari ya majukumu? Karibu mkuu
Mtindi au maliboto (mgando)?Maziwa huwa yanaondoa kabisa harufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kesho nitamtafuta carba (kwa idhini ya Cole) ili anionyeshe mji.Nipo salama shemeji. Majukumu yapo na hayeshi. Umeanza kupazoea Dar? Umeshapata mahindi yaliyotiwa pilipili na maembe yenye chumvi?
Nguvu zake. Mtaji wa masikini daima ni nguvu zake. Na siku nguvu zake zikiisha na thamani yake inaisha pia!Punda hana elimu lakini hakosi ajira.. WHY?
Yasiyo ganda huwa ndio natumiaMtindi au maliboto (mgando)?