moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mhh wataweza kweliMawazo mbadala!![]()
Feruzi
HahahahahaWabunge wa Kiembesamaki na Mchambawima wameamua kuungana kuvuruga kanuni za bunge letu tukufu? Dawa yao inachemka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nachingwea mkuu...
Muulize mwenyeweKuna MTU hum alikuwa anaitwa ukhuty bado yuko humu anatafuta like!?
Sent using Jamii Forums mobile app
It's all Good viphHellow babe...habari ya mchana
Wapo hawaongei kiviiile... Sijui hata walipatwa na nini...
Uzi unapoteza muelekeo,kila kukicha ni afadhali ya jana!!!STORI ZIENDE NA KUTOA 'LIKES PIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo vizuri kabisa.Niaje carbaMzee wa tukuyu nakusalimu kwa idhini ya mkeo...hawayuuu