Kazi kweli kweliNaona walimaanisha Sisil sio Isis!
Hayo mambo ya kijiji cha mchamba wima!
Uwiii hapana jamani!
Iyeeeeee
Hahahaha
Hata mimi mwenyewe nimejishangaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Mzee jiangalie unaguna nini
Sasa
So busy yesterday mkuu Leo namaliza viporo vya janaNaamini kuna siku nitakutana nawe na tutaongea mengi kuhusu haya mambo (Baada ya kumaliza mazungumzo ya kibiashara). Tatizo sema tu ni Mzee wa Liver kwa sababu sijui kama ataruhusu. Leo yuko wapi sijamsikia? Hajambo?
Hahahahaha
Hahahahaha dahHeee jamani kwani kumuulizia mtu kuna ubaya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anakuona ujue...Muulize yule bibi yko sijui unamuita muhenga eeh huyohuyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti coco cola nayo ina cocaineWale wahindi Amerika kusini na hawa wahindi wa Asia wote ni wa kuogopwa. nafaka zao hazionjwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks my loveAnamalizia majukumu
Long weekend inaanza!
Ingawa j3 ni kazi!
Wengi wamechukua off haswa kwenye private companies!
Hotel zimejaa wahindi kutoka Kenya!
Mzee wa mikekaSC Pisa v Frosinone Calcio
Indeed
Kwema mkuu,habari ya majukumu mdogo wangu?Andjul kwema kiongozi