carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwani ushawahi kuwa konda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vilabuni,shule,bwawani au Shelly's???
Kwani ushawahi kuwa konda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vilabuni,shule,bwawani au Shelly's???
Asante naona bado mnaendelea kusambaza upendoSalama tu karibu mkuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na nataka anione[emoji23][emoji23][emoji23]na asije leo akija tu imekula kwake mana nimempania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzoni ilikuwa na Cocaine. Madhara ya Cocaine yalipojulikana, waliondoa cocaine na kujaribu kuachana kabisa na matumizi ya mmea wa Coca. Hata hivyo Coca-Cola hiyo mpya haikuwa na ladha na ilisusiwa na wanywaji. Hakukuwa na njia nyingine isipokuwa kuendelea na mmea wa Coca kama malighafi muhimu. Wamejenga kiwanda kule New Jersey ambako majani ya Coca husindikwa na kuondolewa active ingredient yake kuu (Cocaine). Maji yanayobakia ndo hutumika katika utengenezaji na ndiyo huipa Coca-Cola ladha yake bainishi. Wanasema kiasi cha Cocaine kinachobakia ni negligible na hakina madhara kwa mtumiaji.Eti coco cola nayo ina cocaine
Kwema shemeji?Habari ya majukumu wakuu
Hebu kuja hapa....yale maparachichi yangu vipi??ukishauza mikungu ya ndizi nitafute tukale sekela shawarma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa barabara ipi ya kufika huko na daladala? Nimekulia keko Magorofani(ila sio wa kishua)[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ushawahi kuwa konda??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Dada, achana na huyo kijana. twakuomba urudi tena hapa Dada ili tuendeleze uzi wetu pendwa. Nadhani kila mmoja anajua msimamo wako na tutajitahidi kukupa heshima yako kama inavyostahiki. PlsKumbe bado unanifikiria eeeeeeh
Utajuaje kama mie sio mzima kama wewe hauko hivyo!!!
Jisikitikie... najua kujisechi hata msipo nitag... unashida kwelikweli maishani mwako mfyuuuuuu
Kwema tu kiongozi. Hongereni kwa kaziKwema shemeji?
Indeed biggest lose for barca and Spanish football
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtoto wa magorofani huyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakishua weeeKwa barabara ipi ya kufika huko na daladala? Nimekulia keko Magorofani(ila sio wa kishua)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njema kiongozi upo,Habari ya humu...
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Wewe mtoto!!!!? Yaani akili yako yote ipo kunirarua tu?[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hebu kuja hapa....yale maparachichi yangu vipi??ukishauza mikungu ya ndizi nitafute tukale sekela shawarma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchaguzi utapita salamaWahindi wamekimbia heka heka za uchaguzi? Hao nao kwa uwoga. Huko mahotelini si ajabu wamekuja na mabulungutu ya dola. Tuwaombee Wakenya wafanye uchaguzi wao kwa amani!
Najua hata hili utalishinda tu.Kumbe bado unanifikiria eeeeeeh
Utajuaje kama mie sio mzima kama wewe hauko hivyo!!!
Jisikitikie... najua kujisechi hata msipo nitag... unashida kwelikweli maishani mwako mfyuuuuuu
Uchaguzi utapita salamaWahindi wamekimbia heka heka za uchaguzi? Hao nao kwa uwoga. Huko mahotelini si ajabu wamekuja na mabulungutu ya dola. Tuwaombee Wakenya wafanye uchaguzi wao kwa amani!
AMUN RANATURE DOES NOT NEED PEOPLE BUT PEOPLE NEEDS NATURE
RESPECT NATURE
Command
Tena vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]nenda kauze bhana nije kukurarua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mtoto!!!!? Yaani akili yako yote ipo kunirarua tu?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu umekuwa ukipiganiwa na warembo hapa kiasi cha kuhatarisha ndoa za watu. nipe siri ya mafanikio yakoSalama kabisa brother, nautambua uwepo wako.Keep it up[emoji122] [emoji122] [emoji122]
We carb wee,Na nataka anione[emoji23][emoji23][emoji23]na asije leo akija tu imekula kwake mana nimempania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]