Nalinda kilicho changuJamani si salam tu? Loh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yamefanyaje??Mambo ya pwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Abeee, hujaelewa? Nimesema huko nimeshakataa. Yaani ni hv safari ya huko haipo tena.nsamakaaaaa
Amerika Kusini hakuna Wahindi bana. Hebu jaribu kuwaita hivyo siku moja uje uone moto wake. Columbus kukosea na kudhani kuwa kafika India ndiyo mpaka leo wanaendelea kuitwa hivyo.Wale wahindi Amerika kusini na hawa wahindi wa Asia wote ni wa kuogopwa. nafaka zao hazionjwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuki kwa nguruwe eti?Nalinda kilicho changu
Nakuona tu lkn ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yamefanyaje??