Nawe piaMuwe na usiku mwema , asb njema na mchana mwema.
Amina.Wahindi wamekimbia heka heka za uchaguzi? Hao nao kwa uwoga. Huko mahotelini si ajabu wamekuja na mabulungutu ya dola. Tuwaombee Wakenya wafanye uchaguzi wao kwa amani!
[emoji23][emoji23][emoji23]nakuona piaNakuona tu lkn ujue
Pamoja na darasa lako zuri, mwenyewe unaweza kunywa glass ya juice ya vitunguu swaumu?Kazi kuvivumilia vitunguu swaumj kwa siku saba na harufu yake ile uwiii
Mie penda weye lakini kaa kidogo tuzozeUsiku mwema wapendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yamefanyaje??
Good night shemeji. Mungu Akulinde!Usiku mwema wapendwa
Kwa mimi nitauvunja...Mkuki kwa nguruwe eti?
Macho yako sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona tu lkn ujue
HahahahaKwa mimi nitauvunja...
Huku Mbagala ndiyo kunakucha sasa. Wauza samaki wa kukaanga, pweza na vikolombwezo vingine ndiyo kwanza wanapanga biashara zao kando ya barabara....Huku shinyanga sasa ni saa tatu na nusu usiku. Yaan huku kwetu mida hii hata boda husikii wakikatisha mitaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuona pia