Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mi sipendagi siasa za malumbano na hapa pia siyo mahali pake, ila kaswali kangu ni kwamba, hao wawili uliowataja walitoa mchango gani kwa taifa kwenye maeneo yao kuwazidi hao wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaaaaaa!
Haya mambo ni magumu ndiyo maana kwa sasa mimi hayanipotezei muda sana. Mwanasiasa unajitolea unampigania weeee halafu kesho bila aibu anakubadilishia gia angani utafikiri siyo yeye....
 
Back
Top Bottom