Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwili wake ndo silaha yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3]Mie penda weye lakini kaa kidogo tuzoze
Kapiga ganzi too bad
mkuu Rutashubanyuma ngoja niende kule theatre of dream nikawaombe jamaa wakupatia likes urudi kutupatia yale maudambwi dambwiMpe vidonge ameze ateme ni shauri lake
Sorry sina uhakika na siwez zusha zaidi mkuuHivi walimkosea nini huyo mama uliyemtaja kiasi cha kutuacha hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na darasa lako zuri, mwenyewe unaweza kunywa glass ya juice ya vitunguu swaumu?
Sent using Jamii Forums mobile app