Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu utaratibu wa kutupia post na kusepa haukubaliki, ni vyema ukagonga likes kwa uchache angalau page 20 kisha ukaendelea na safari.chukua like basi
Yeah! Alivunja kanuni za Bunge nikamtimua kwa miezi mitatu. Ndiyo kwanza kamaliza adhabu yake japo karudi na ishu zingine zinazotishia legitimacy ya bunge na taratibu zake.Hapa Kijijini SHIMBA YA BUYENZE atakueleza zaidi kuhusu kuadimika kwangu hapa
Shemeji kwema? Unauliziwa sana hapa. Hata Baby S akija hapa tukimuuliza anasema upo hujambo basi tunafarijika.Mkiona kimya mjue majukumu yamebana
Usiku mwena kwako pia. Lalaga chiza na Seba Agulang'hane!Muwe na usiku mwema , asb njema na mchana mwema.
Mpe vidonge ameze ateme ni shauri lakeMkuu utaratibu wa kutupia post na kusepa haukubaliki, ni vyema ukagonga likes kwa uchache angalau page 20 kisha ukaendelea na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora gonga mia hazitakuchukua dakika mbiliNgoja ni gonge like kama kumi nikimbie
Duu unataka nitumbuliweBora gonga mia hazitakuchukua dakika mbili
Mkuu mi sipendagi siasa za malumbano na hapa pia siyo mahali pake, ila kaswali kangu ni kwamba, hao wawili uliowataja walitoa mchango gani kwa taifa kwenye maeneo yao kuwazidi hao wengine?