Yupo keshafikaMy princess sijui yuko wapi nitamtafuta
Yupo keshafikaMy princess sijui yuko wapi nitamtafuta
IndeedSTORI ZIENDE NA KUTOA 'LIKES PIA
KwaniniBado natafakari uamisho wa Neymer to PSG
Hakuna kama huyuLionel MESSI
King of Catalan.
Tutaweka sawa hii haliUzi unapoteza muelekeo,kila kukicha ni afadhali ya jana!!!
Ameniuzunisha sanaAlikuwa anamiliki JEEP. alipata project ya ukimwi kwa ile nyimbo yake, alipiga fweza mpaka alikuwa hajui pa kuziweka.mwishowe akaamua kuwekeza kwenye kupata mlo huo wa kihindi ili kuimarisha afya yake. Tunampenda sana msanii wetu na kwakweli ametuangusha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Cole akupitieWenye wivu wajinyonge kweli[emoji445] [emoji445] ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba lifti basiiiii
My princess nsamaka ni bibiMuulize yule bibi yko sijui unamuita muhenga eeh huyohuyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa likes kwa kila postSTORI ZIENDE NA KUTOA 'LIKES PIA
Mkuu sijaona notification ya like yako so unataka tukujaze tuHakuna wakati mwanaume anakuwa na furaha kama wakati anapo ambiwa na mwanamke:
*"kafunge mlango kwanza!"*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]♂♂♂
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuuHabari ya majukumu wakuu
NimekupataInadaiwa ngada aina ya coca ni malighafi muhimu za madawa na baadhi ya vyakula. Kwamba, aina ya usindikaji wanaofanya wasafirishaji ndiyo unaofanya iwe kilevi cha hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
My princess hi I'm missing u so muchKumbe bado unanifikiria eeeeeeh
Utajuaje kama mie sio mzima kama wewe hauko hivyo!!!
Jisikitikie... najua kujisechi hata msipo nitag... unashida kwelikweli maishani mwako mfyuuuuuu
Hahaa subiri aje kujibu mwenyeweHahah mkuki kwa nguruwe eti eeeh?
Poa mkuuHabari ya humu...
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Kuwa na heshima wana nani maana hapa sema wakuu