Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUTOKA TANGA: " Napaheshimu sana [HASHTAG]#Tanga[/HASHTAG] , niliwahi kupitisha BUNDUKI 14 hapa. Nilipata tabu kuzipitisha Bukoba hivyo nikaja kupita huku. Kwaiyo mimi nayafahamu sana mambo ya Tanga. Ninyi mnafahamu mambo ya Tanga ya raharaha tu lakini mimi nafahamu mambo yote." ni maneno ya Rais Museveni.
 
MUSEVENI AKATAA KUITWA RAFIKI WA [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] . . " Waafrika tunachanganya mambo, ndugu yako unamuita rafiki. Mimi Watanzani SIO RAFIKI ZANGU, NI NDUGU ZANGU. Mnaweza kunikataa lakini hiyo haibadilishi hakika kwamba mimi ni ndugu yenu " - alisema ndugu yetu Rais [HASHTAG]#Museveni[/HASHTAG]
 
Screenshot_2017-08-05-13-02-38.png
 
Back
Top Bottom