moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ukikutana na ayo maneno unaingia chaka ukiwa unajionaNilikuwa siyapendi maneno (explain, discuss)yakiwepo kwenye swali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ina maana unaangalia live???? ISIS kuja pande hiiiHahahahaha
Nacheka peke yangu hapa anaangalia neema
Weweeee.....Na mimi nataka nianze kufitini kandoa kako[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Weweeee.....
Haufai wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi mbona huishi kunikemea jamani
Wavae tu. Ina raha yake sana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji17][emoji17][emoji17]nyie ndo mnafanya watu wavae vigodoro
Usiusemee moyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
Awezi na hataweza kunichoka kamwe
Carba....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule bibi yako anakuona ujue,ooopppss sorry mkeo kumbe
No comments mkuu nafikiri umenielewaKwamba na wewe unaombea???
Kutana na maneno hayo kwenye Auditing au Tax[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahhaCole William wewe jina lako libalikiwe, ingawa yule furani toka nyanda za juu kusini anafanya michezo isiyifaa kwa shemeji yetu lakini umepoa tu. Una roho ya kiutu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida mkuu salamu ni jadi ya watanzaniaMzee wa liver, sasa unajulikana Tanzabia nzima, mpaka misitu ya Biharamulo. Wanadai wewe ni mtu mwema sana. Huwa unatoa salaam kijiji hadi kijiji. Jina lako limetumika kwenye shule moja huko kijijini Mabamba jimbo la muhambwe wilayani Kibondo mkoani kigoma kuenzi kazi zako hapa. Heshima kwako
Sent using Jamii Forums mobile app