NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
nimemuona makonda clouds leo
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]nasubiri watu wapungue hapa nilipo
Ndiyo,tiyari ila nimeshazichimbia ...Hivi ushauza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka kitu napotezea stress free zoneUwe mwangalifu tu usiguse hisia za watu. Watu hufyatuka haraka imani zao zikiguswa!
nimemuona makonda clouds leo
SoulmatesHahahahaha
Nampenda ISIS hakuna wa kunizuia kufanya hivyo
We are soul mate
Infinity one
Sahihisha sentensi yako
Unyonge upi
ISIS na Mimi tunapendana sana
Hahahahaha sifa zingine acha tuWewe hata nusu ya booklet hujafika, mtu anaomba booklet ya 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
16:504:44
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
IndeedNimekumbuka kitu napotezea stress free zone
AMUN RA16:50
AMUN RA
Acha wivu hebu muite nsamaka mje kubebishana hapa mana kila siku utasikia oooh kaa mbali na carba,mara naondoka[emoji23][emoji23]ndoa yako inamajanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaombea(kandoa kavunjike vipande vipande)Hakika nami nawapenda vile mnapendana.Bila wewe mwandiko wa mzee wa liver ule wa kibubu bubu usingebadilika na kuwa mzuri kama wa sasa.Hekima za mzee wa liver chanzo ni wewe mama ISIS.Hakika nitawaombea daima[emoji120] [emoji120] (ila kaufitini nitakuwa natupiamo kidogo[emoji23] [emoji23] )
HahahahahaBado niko mbele ya kioo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaWivu unamsumbua,nsamaka akija hapa anaanza kumtuhumu kuchepuka hawana muda wa kubebishana[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaAcha wivu hebu muite nsamaka mje kubebishana hapa mana kila siku utasikia oooh kaa mbali na carba,mara naondoka[emoji23][emoji23]ndoa yako inamajanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaombea(kandoa kavunjike vipande vipande)
Acha karoho mbaya wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo,tiyari ila nimeshazichimbia ...