ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AmazingMimi jogoo wa shamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
AmazingMimi jogoo wa shamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
HahahahaJogoo la shamba ha.......mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njia pekee nikumuacha peke yake kwenye chumba cha mtihani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mijitu kama hii inaudhii[emoji23][emoji23]
Eeeeee[emoji101] [emoji101][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miguvu ya nini vileeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ai weee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unyonge sio kukosa nguvu au kutojiamini.Wewe umnyonge wa penzi la kule,umependwa hadi ukabebishwa...WAGUMU WEUSI ASILIA unawakumbuka???
Hivi ushauza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauoni mikungu ya ndizi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee nitafufukaMaisha. Kifo. Maisha!![]()
Uwe mwangalifu tu usiguse hisia za watu. Watu hufyatuka haraka imani zao zikiguswa!Nimesoma sana hayo mambo
Natokea kwenye familia mbili za ukiristo na uislam nimepitia mafundisho yote ya hizi dini nikipata muda nitaelezea hili kwa ndani kabisa
Na huwa wanabaki wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]Njia pekee nikumuacha peke yake kwenye chumba cha mtihani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me sina kioo tu hapa la sivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nawaona mnavyochunguza ndimi zenu hahahaa
Wewe hata nusu ya booklet hujafika, mtu anaomba booklet ya 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mijitu kama hii inaudhii[emoji23][emoji23]