mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ZEUSSATURN
ZEUSSATURN
Na zile zilikuwa shule kweli siyo mchezo. Halafu viboko sasa. Weeeeh!Umande wa asbh si mchezo
SHIMBA anajua mambo ya umande
Tatizo chaguzi zetu za Afrika mshindi yupo tayariIspowezekana bado wabaki kama taifa moja, wasiumizane kwa sababu ya siasa. Inafahamika kila baada ya uchaguzi kuna mshindi na mshindwa. Watakaoshinda wafurahie na watakaoshindwa wavumilie.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Mzee nipo ujue nakuona
Halafu lazima upeleke fagio..Na zile zilikuwa shule kweli siyo mchezo. Halafu viboko sasa. Weeeeh!
My princess hiHii spidi yenu na uzee wangu huu mnaniacha mataa tena wajameni...
Karibu mpendwa we real miss uNashukuru
Nami huwa nawamiss kwa sana tu.