mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Masaki kwemaMasaki mambos vipi?
Masaki kwemaMasaki mambos vipi?
Hahahahaha dah kweli kwa weekend kurefresh mind ni muhimu sanaKuna kiwanja kipya hapa karibu na nssf lkn pia nssf huwa kuna live band. Mara moja moja si mbaya
HahahahahaHahahaha muhenga ana mambo huyu, anapata presha vile anaona mie mke wake ndio kwanza bado mbichiiii hahaha
Eeeh maana km kusoma tulisoma sisi, maarifa tulipata sisi, kazi tunafanya sisi, msharaha tunapokea sisi hivyo hakuna wa kutupangia matumizi.Hahahahaha dah kweli kwa weekend kurefresh mind ni muhimu sana
HahahahahaEeeh maana km kusoma tulisoma sisi, maarifa tulipata sisi, kazi tunafanya sisi, msharaha tunapokea sisi hivyo hakuna wa kutupangia matumizi.
HahahahNa bakora tulichapwa sisi
Afya kwa wote hasa eneo la bomba la mafutaHabari za asbh Tanga
Dah ni balaa enzi hizo hakuna English medium schools hahahaUmande wa asbh si mchezo
SHIMBA anajua mambo ya umande
Enzi za mchaka mchaka hahahahha aisee kweli nshakuwa muhenga.Umande wa asbh si mchezo
SHIMBA anajua mambo ya umande
Ndo kwanzaa weekend imeanza wapo wanamalozoa usingizi. Morning nsamakaNjoeni wapenzi, mmeenda wapi? Nasubiri post za kulike hapa.
Morning Numbisa.Ndo kwanzaa weekend imeanza wapo wanamalozoa usingizi. Morning nsamaka