mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poa mamaa utafika tuNiko huku kwenye 10 hrs, ila naja mdogo mdogo
Poa mamaa utafika tuNiko huku kwenye 10 hrs, ila naja mdogo mdogo
Morning mzee wa liver.Morning nsamaka
Mbona unantisha nsamakaAkiwepo shukru Mungu
NimekupataMzee wa liver siku ukija shy tena usiache kunitafuta
Humu kuna wahenga hawakai mbali na wake za watuMbona unantisha nsamaka
Pamoja sanaNimekupata
The one and onlyIsis nakusalimu
Sisi wa malampka hatuna ofaJamani haya wale wa shy leo nina offer zenu
Mfikishie salamuThe one and only
Hakichukuliwa tu itabidi nijisogeze kwako tu maana haina namnaHumu kuna wahenga hawakai mbali na wake za watu
Jana usiku kulikuwa hakuna post nyingi utafika sasa hiviKwenye 9 hrs dah, hv ntafika kweli
Malampaka? Hakyakweli nakufahamu ww.Sisi wa malampka hatuna ofa
Makao makuu ya Tanzania yako poa kabisaMorning to you
You are appreciated
Dom poa huko?
MorningMorning glory
Yalah mtumeee humu kuna muhenga mmoja anaitwa andjul,kabla hujawaza kuja kwangu ulizia kwanza habari zake.Hakichukuliwa tu itabidi nijisogeze kwako tu maana haina namna
Njema mansaZa asubuhi?