mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaHeheeh uliacha mke? Sidhani km utamkuta maana wahenga hawajawahi kuacha wake za watu salama.
HahahahahaHeheeh uliacha mke? Sidhani km utamkuta maana wahenga hawajawahi kuacha wake za watu salama.
HahahahahaNilimuacha ndiyo na ntatoa mtu busha sitaniwi
Nasi tunakupendaNawapenda
IndeedFree stress zone
Ebu njoo kule ili nikuambie vizuriMalampaka? Hakyakweli nakufahamu ww.
Hebu niambie mitaa ipi hiyo.
AminaNasi tunakupenda
Yaani humu ni full vichekoWalahi usipocheka humu basi utakuwa umevurugwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] au ndo mkojoz wakoYalah mtumeee humu kuna muhenga mmoja anaitwa andjul,kabla hujawaza kuja kwangu ulizia kwanza habari zake.
Haya najaEbu njoo kule ili nikuambie vizuri
Offer ipi tena weka mezaniJamani haya wale wa shy leo nina offer zenu
Pokea tu mkuuNina simu kutoka nje
Miss u 2 kwa hisani ya andjulMorning mzee wa liver.
Mish yo badly hahaha
ZimefikaMfikishie salamu
Kuna kiwanja kipya hapa karibu na nssf lkn pia nssf huwa kuna live band. Mara moja moja si mbayaOffer ipi tena weka mezani
The one and onlyGoddess Isis
Hahahaha muhenga ana mambo huyu, anapata presha vile anaona mie mke wake ndio kwanza bado mbichiiii hahahaMiss u 2 kwa hisani ya andjul
Huyu mzee ni shida akija hapa
Nzuri mkuuZa asubuhi?