mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari za asbhAfya kwa wote hasa eneo la bomba la mafuta
Mkuu habari za asbhAfya kwa wote hasa eneo la bomba la mafuta
Indeed sisi ni wahengaEnzi za mchaka mchaka hahahahha aisee kweli nshakuwa muhenga.
Shukran mamieMorning Numbisa.
Asante kwa nondo zako za afya.
Mambo ya weekend hayo watu naona wana hangoverEeeh jamani ndio kusema hampo, yaan hadi nasubiri cha kulike mweh?
Nimekuja nipo wacha nishushe post za kutoshaNjoeni wapenzi, mmeenda wapi? Nasubiri post za kulike hapa.
Morning NumbisaMorning all
HayaNimekuja nipo wacha nishushe post za kutosha
Huku ndo home kwa sasa. Na huku piaNumbisa kumbe unajificha uku ndo maana sikuoni mkuu,
Hope umeamka poaMorning Numbisa