Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WATU HUPENDA RAFIKI WA AINA GANI?
Juan: “Rafiki wa kweli anapaswa kujieleza kwa uhuru na asikasirike usipokubaliana na maoni yake.”
Eunice: “Mimi huwathamini sana marafiki ambao wako tayari kutumia muda pamoja nami na kunisikiliza, hasa ninapokuwa na matatizo.”
Silvina: “Marafiki wa kweli watakuambia ukweli—hata wakijua kwamba utaumia—kwa sababu wanakujali.”
 
3. Usitazamie Mengi Mno
Kadiri tunavyozidi kuwa karibu na rafiki yetu ndivyo inavyokuwa rahisi kutambua makosa yake. Kama sisi, rafiki zetu si wakamilifu. Kwa hiyo, hatupaswi kutarajia ukamilifu kutoka kwa rafiki zetu. Badala yake, ni vizuri kupendezwa na sifa zao nzuri na kutokazia fikira makosa yao.
 
WATU HUPENDA RAFIKI WA AINA GANI?
Samuel: “Mara nyingi tunadai mengi kutoka kwa wengine kuliko yale tunayoweza kutimiza. Tukitambua makosa yetu na kwamba tunahitaji kusamehewa, itakuwa rahisi kuwasamehe wengine.”
Daniel: “Kubali kwamba rafiki zako watafanya makosa. Matatizo yanapotokea ni vizuri kuyatatua haraka na kujitahidi kuyasahau.”
 
4. Uwe na Marafiki wa Aina Mbalimbali
Ni kweli kwamba tunahitaji kuchagua marafiki wetu kwa uangalifu. Lakini haimaanishi kwamba tunapaswa kuwa tu na marafiki wa umri fulani au malezi kama yetu. Kupendezwa na watu wa umri, malezi, na mataifa mbalimbali kunaweza kuboresha maisha yetu.
 
JE WAJUA; Mamba kumeza mawe.
Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa gasrolith.Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;1. Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.2. Humsaidia kusaga chakula tumboni.3. Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia ameshiba hata kama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom