Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ngoja niibe zawaidi za GeJo kidogo nikuletee maana nilikumiss sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu yakupasukie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niibe zawaidi za GeJo kidogo nikuletee maana nilikumiss sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu yakupasukie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisingizia mimi sihusikiZizi limevunjika, wewe unahusika. Majirani wanajichukulia vitu wapendavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukichelewa tu imekula kwako si unaona KK kaingia..kashaanza kuchombeza mwenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uni.....Mfuga kuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali hiyo vipi?unataka kwenda wapi na huyo muhenga??Usijali na kichwa kichafu alivyo kumiss mpaka amekonda
Hahahahahaj kichaa wangu mzee wa liverKk style
Karibu mkuuBrother nilikukumbuka sana
HahahahahaKentucky Fried Chicken ya Kipare.![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]muulize nilimfata usiku sa5 sijui6 ile acha kabisaNajua hiyo siku andjul masikio yake yalisimama kama mbwa wa doria[emoji23] [emoji23]
Karibu sana tena sanaPia kukosa katika hii family niliyoizoea duuuh utadhani nipo kituoni
Mzee wa liver akichukia ananiitaga hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anahofu ya kubomolewa zizi lakeAndunje?????? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeburst kicheko hicho nimeonekana kichaa kabisa huku
HeheheHahahahahaj kichaa wangu mzee wa liver
Nasikia ukifika masaki unakuwa kama mtoto mdogo sura ngumu hubadilika na kuwa na tabasamu la hali ya juu kwq ISIS
Habari yako kichaa wangu
Ule uzi wa Man U huwa ni hatari ukiutia mwilini hauchagui mtu we mpelekee tu shine weekendTayari mimi nishafanya yangu namtafutia Numbisa tu na yeye sasa sijui atakubali uzi wa Manchester
Ndo yeye hakuna mwingine[emoji23][emoji23]Andunje huyo alikuwa anamwita[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo pokea likes kabla ya yote. We missed youMkuu heshima yako kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingiziacarbamazepine namfaham vizuri na anavivu huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi vivu unaona vivu tena
Hahahahaha amekuja muda mwafaka kesho Jumapili natumaini tutapata gospelJamani nimemuona Kichwa Kichafu
Mambo ya pwani[emoji445] [emoji445] [emoji445]Nadhani kuna kawizi furani unawafanyia, [emoji3] [emoji3] [emoji3] loo. ama kweli mwanamke wa dar hawezi acha mtu salama. Nini hasa,au limbwata?
Sent using Jamii Forums mobile app