ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Umeona eehKaribu sana tena sana
Umeona eehKaribu sana tena sana
HahahahaHahahahaha amekuja muda mwafaka kesho Jumapili natumaini tutapata gospel
Angekulowanisha kweli yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshtukaaaaaa
Yanaona tunavyotaka kuona kama.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie watoto macho yenu yana tatizo gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaAsante sana mkuu.
Hongereni sana maana speed si ya nchi hii
Kwanza huna mpango hata wakununua nguo maana kila week mnasare mpya ya kuwashia moto mafumanizi.[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa tena sio madera ni vijora[emoji23][emoji23]
Nilikumiss pia kwakweli nimefurahi kukuona tena...
Umesahau kama nakujua[emoji23][emoji23]1st crush??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh teh teh hadi huwa natamani nikuibie hiyo glass maana naona huwa unaona hadi moyo wangu weye
20:027:33
AMUN RA
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]yani nimefurahi kweli kama nimeokota hela vile....
Ni kiti cha gari wewe,halafu nimei download sehemu.... Wote wawili mshindweeee....Suruali ile sema mwenyewe hataki kukubali[emoji23][emoji23]
HahahaWapi GeJo....ila nasikitika kukwambia kuwa kesha olewa[emoji23][emoji23][emoji23]
GeJo is back too[emoji22][emoji22][emoji22][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]kuna mgeni wakoWazima humu ndani?
Nsamaka hiHi guys
Miss you badly hadi naumwa huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] buza....Hahaaa yombo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu muhenga wako hajiamininsamaka kila kesi ni yako?
Njia ile ni nyembamba uiendao uzimani naimba tuUkweli ni ukweli tu bro hata tukijifanya watakatifu bila huo utakatifu ni kazi bure. Kwa vijana marijali huu bado ni mtihani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaah wapi Cole wangu ananitosha miecarbamazepine inamuuma hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back in businessYap popote ulipo uje