carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha fitna wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewaona hao wawili wanavyo angaliana tu machoni nikahisi kuna kitu.
Ila usimwambie mtu
Acha fitna wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewaona hao wawili wanavyo angaliana tu machoni nikahisi kuna kitu.
Ila usimwambie mtu
HahahahahaSasa unadhani mayai niliyonunua ila nimeweka mfukoni mwa jeans yang nimekuletea zawaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niangalie kama hayapasuka[emoji23] [emoji23]
Hivi kwanini hujiulizi nikikuona huwa najificha upite kwanza ndio najitokeza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesahau kama nakujua[emoji23][emoji23]1st crush??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mpe nsamaka tu[emoji23][emoji23]Ile zawadi nilikiletea wewe tu
Tumemiss mnoKichwa kichafuuuuuuuuuu
Amekuja
Hahaha nyie watu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa anafanya homework ya tuition[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona uzi unakimbia pongezi kwenu aiseehKaribu nyumba ya likes
Kiwanda cha kuzalisha likes
GeJo kaja ujueNgoja niibe zawaidi za GeJo kidogo nikuletee maana nilikumiss sana
andjul kuja uone hukuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Usinilishe maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uni.....
Naona unatoa siri we mzeeAngekulowanisha kweli yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weweeeeee muone kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji115] [emoji15]
Teh teh tehHahahahaha amekuja muda mwafaka kesho Jumapili natumaini tutapata gospel
Sijaona dalili ya gospel hapa naona dalili ya mazizi kuvunjwa[emoji23][emoji23]Hahahahaha amekuja muda mwafaka kesho Jumapili natumaini tutapata gospel
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia
Kila mnyonge.....[emoji23][emoji23][emoji23]acha kunisingizia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipati pichaAngekulowanisha kweli yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaNi utani tu bro ili kuamsha amsha mambo. Hata Carba anajua...
Ka kishua ni kale ulikokasifia siku moja kuwa eti kanakukosha sana na knowledge yake ya football. Kasomi hivi kanapenda sana makwotesheni ya kishua hasa sayansi na misemo tata ya kifalsafa. Please usitaje jina. Tunaburudika tu bro ila kama unakumbuka ulichimbwa mkwara kuwa kama ni kuangalia mpira ni afadhali uende ukaangalie kwa Numbisa na siyo kwa kashua....
Ndo kazi inayoniweka mjini hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza huna mpango hata wakununua nguo maana kila week mnasare mpya ya kuwashia moto mafumanizi.
Asante nimefurahi pia