carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nawakumbusha tu[emoji23][emoji23][emoji23]zile old daysHalafu ww ni mchokozi kweli?
Nawakumbusha tu[emoji23][emoji23][emoji23]zile old daysHalafu ww ni mchokozi kweli?
Uwongo wa mwenye nyumba si ukweli wa mpita njia.
Mkuu kwan wewe ni mgeni humuOk,kila la heri ,Mungu awape tamanio la moyo wenu
Bora umekuja cocochanel nilikumis sana,mwaga vitu mkuu ule likes.Uwongo wa mwenye nyumba si ukweli wa mpita njia.
Alikuja asubuhiHv kichwa ashakuja humu leo? Au kapotea tena?
Kazi ni kuumaintain uongo wako na usisahau ulichoongopa.Uwongo si kazi.
Mkuu kwan wewe ni mgeni humu
Bora umekuja cocochanel nilikumis sana,mwaga vitu mkuu ule likes.
A lie is for a while truth is forever.Uwongo ni mbio ya sakafuni.
Uwongo ni mbio ya sakafuni.
Teh teh naomba ya kwako laknTupa zote[emoji23][emoji23][emoji23]au mpe naniii eeeh huyohuyo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiempenda kaja[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kanifanya niwaze mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23]ashindweee
Wewe ndo yule alieimba huu wimbo?Mwanaume Mashime aah Mashine,...
We unahisi nini nataka kusemaUnakipi cha kuniambia?[emoji38][emoji38]
BoySerengeti