Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa baby....sorry nilitaka kusema kichwa shem
Maisha yanaenda kasi Sana na mimi ngoja niende kasi kumtafuta mjomba [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hahahah jamani lkn si nilisema nimekosea tu
 
Muhubiri alimaliza kila kitu
Kuna wakati na Majira ya kila kitu
Tayari fyoko fyoko zimeanza eti huko nyuma alikuwa anatumia madawa lakini safari hii wamemgundua mbinu zake ndo maana ameamua kustaafu; na anaonekana kama vile siyo yeye. Eti wana vipimo vipya sophisticated zaidi na wakipima sample zake za mkojo na damu huko nyuma si ajabu watagundua madudu na watamnyang'anya medali zote kama walivyofanya kwa Armstrong mpanda baiskeli mbabe wa Tour de France!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…