The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Safi tu mkuu,tupo na vijana hapa tuna relax na kupunguza kidogo stress.Mfalme Mwenye Busara katika ubora wako. Kwema mkuu?
i
Safi tu mkuu,tupo na vijana hapa tuna relax na kupunguza kidogo stress.Mfalme Mwenye Busara katika ubora wako. Kwema mkuu?
Kichwa kichafuMambo vp?
Huyu jamaa ni shida. Alivyokuwa akimlalamikia Obama kucheza gofu na basketball. Miezi sita tu tayari anakaribia kuvunja rekodi ya Obama ya miaka yote minane. Wanasiasa !!!
Salama kabisa...habari ya wewe
Mtoto wa kishua baada ya kumaliza masomo yake.Yaani hapo EPL ni full kuangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee andjul akiwa na..............
Kichwa kichafu
HahahahaView attachment 559291...natengua mtu viungo
Wewee weweee[emoji379][emoji379][emoji378][emoji378][emoji378][emoji375][emoji375][emoji380][emoji380][emoji380]Mtoto wa kishua baada ya kumaliza masomo yake.Yaani hapo EPL ni full kuangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumekucha salama shemeji. Naona tayari mpo na Mzee wa Tukuyu pamoja na familia yake mkijadili mambo ya familia na ndoa. Safi sana!Habari ya jumapili shemeji
Tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tiliKichwa hon..... i miss you
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kanianza mwenyeweWewee weweee[emoji379][emoji379][emoji378][emoji378][emoji378][emoji375][emoji375][emoji380][emoji380][emoji380]
Hahahahah pita kimya tuTili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili tili
Nzuri my dear