Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

43a366214b020b04e154cb0aaec3b7d7.jpg
Utandawazi unapoamua kutuacha wazi...hii shida ya mitandao karibia uote ya kijamii ila huu ni ulimbukeni wa kutukuka
 
Liwalo na liwe. Si unaona sea view kabisa hapo mtu upo kibarazani kwako huku unasikilizia hewa ya marashi ya bahari. Masaa mawili tu mtu akili zimeshabadilika unawaza miradi mikubwa ya kijasiriamali. Mbagala huku hata kukonsetreti na ishu muhimu ni ngumu sababu ya makelele. Mi naenda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakutakia safari njema hiyo kesho.Umesema unaenda kwa usafiri gani vileee?
 
Back
Top Bottom