Supu ya karoti na juisi ni bora kwa matibabu ya tumbo la kuhara kwa watoto wadogo,hata kwa watoto wachanga, mtoto mchanga ambae anakua kabla ya wakati wake,na kwa watoto wote waliougua maumivu ya tumbo la kuhara .Inamsaidia pia watu mzima wenye maumivu ya tumbo la kuhara,na kwa matumbo yote/mchafuko wa utumbo mpana.Supu ya karoti pia inazuia upotevu wa maji mwilini.