mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Tabora
Amina BroYap. Mpaka ile inayopaswa kuwa ya mwisho inafika halafu mtu unagota ghafla na maisha yanakoma dah. Tumkumbuke Mungu na kumuomba kila siku!!!
Ni kweli kabisa kwa Jana Uzi ulisonga sanaWaheshimiwa uongo mbaya leo tumedunda mzigo
AminaUsiku mwema kwa uwezo wa Muumba kesho tunaendelea kuusambaza upendo