Tukiacha matabaka inaumiza sanaUkiwa na ubinadamu tu.Wapo wanaoshangilia kwa sababu zao.Kuna mwizi anaiba kwa sababu kuna watu nyuma yake wana taabika kwa kukosa mahitaji muhimu.
Huyo mwenye kitambi ni wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji111]Word bro
Hatari ujueHata spoku linaweza kumshtua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usitamani mana waweza kuta katumia mafuta lita nzima na nyanya hazijaiva[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo wameongelea mbivu=mbichi kama kachumbari
Umenitamanisha hio rost aisee
Thanks my loveThanks my dearest!
[emoji119]
Hiyo miaka yake mi5 tu kwangu naiona mingi[emoji57][emoji57][emoji57]
HahahahahaAsante...mi niko nilibanana tu hizi wiki.. Si unajua tena uniq[emoji6] [emoji6] [emoji6]
HatariHiyo miaka yake mi5 tu kwangu naiona mingi[emoji57][emoji57][emoji57]
Jibu nimelipenda[emoji23][emoji23][emoji23]Na umbea
Achana naye my princess umeona sijatoa hata likes moja kwakeHumu hatuongelei siasa