miss wakisambaa
Member
- Aug 5, 2017
- 16
- 55
Tanzania ni nchi pekee ambayo raia wake hawana nguvu
Nguvu za kiume au?Tanzania ni nchi pekee ambayo raia wake hawana nguvu
Numbisa vipi kuhusu pilipiliKesho weekend
Magari yote yenye tinted mwisho jumatatu. Nimetengua amri ya tinted ....basi shida tu
Nyanya zile ngumu mbichi za kachumbari sio masalo lol[emoji23][emoji23][emoji23]kula masalo uha.....Hapo hapo Numbisa
Hizo nyanya natumia zilizopikwa au laaa maana huwa natumia kwa mapishi kupata roast moja matata
HahahahahaItakuwa ya kichina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntaleta baadae mkuuNumbisa vipi kuhusu pilipili
Napenda sana kuna madhara ya kutumia pilipili au hakuna
Na kama faida zipo tujuze
AMUN RA11:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Toa likes pata likes
Tunaongea sayansi?Humu hatuongelei siasa
8/8 ila ilitakiwa iwe leo ndo ingependezaKesho weekend
[emoji23][emoji23][emoji23]umeambiwa nna hara[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tusaidie na ratio ya milk na hivyo viazi maana naona carbamazepine naweza kumtengenezea hivi karibuni.