[emoji106] [emoji106] nafurahi kusikia hivyo...Mzima kabisa my dear
Kikosi maalum(special force)Na kucha za, bandia
Hapo hapo NumbisaNyanya zimerutubishwa kwa vyakula vyote ndani ya vitamin.Zina rutuba muhimu hasa kwa vitamin A,B na C.Nusu kipande cha nyanya mbivu pia kinafaa kwa machafuko ya tumbo.
Mimi mmoja wapo,ila wanajinyonga sababu ya mpira,makala za Wenger za afya napenda kuzisoma.
Mzee Wenger anakwambia chakula chake kikubwa ni wali na samaki wa kuchemsha
Hebu tusaidie na ratio ya milk na hivyo viazi maana naona carbamazepine naweza kumtengenezea hivi karibuni.Viazi mviringo iliyochemshwa inachanganywa kwenye maziwa ni dawa bora ya tumbo la kuhara.
Mi mzima kbsa moudgulf, za kwako!?