Itabidi nikukutanishe na mzee Arsene Wenger mana nae yupo vizuri sana kwenye maswala ya afyaMaji yaliyochemshwa na njegere inabidi yatumike kuosha uso kuondoa matete kuwanga.
Ganda la njegere imejuimuishwa kwenye vitamini na madini na inabidi ipikwe kama mboga ya majani kwa mgonjwa wa upungufu wa vitamini na udhaifu kiujumla.
[emoji111] [emoji111]Viazi mviringo mara nyingi ni chakula sahihi,vinapunguza presha ya damu,inakimu uzito wa alkali na asidi kwenye mwili na inarutuba ya vitamin A,B,na C na potashiamu.(asilimia 60 ya potashiamu ipo kwenye viazi ambapo inafungika kwenye ngozi ambapo haiwezi kusaidia kwenye kiazi kilicho menywa.) Jitahidi umenye kiasi juu juu au chemsha na ngozi yake baada kuosha vizuri kuondoa kabisha mchanga.
Weuwee wakati mashabiki wake kila kukicha wana hamu ya kujinyonga,wengine wana presha tupuItabidi nikukutanishe na mzee Arsene Wenger mana nae yupo vizuri sana kwenye maswala ya afya
Kiazi gani tena?Juisi ya kiazi iliyo mbichi ni bora kuupa uhai mwili na kupata wingi wa vitamin C ambayo ni kama vitamin na madini mengine.kiazi kinabidi kiepukwe kama we ni mgonjwa wa kuumwa viungo vya mwili, acha kabisa(athritis)
Kiazi gani tena?
Kuna juisi ya kiazi
Nipo kamili gadoPoa tu, za wewe Bob!?
AsanteViazi mviringo vibichi vilivyo pondwa na kuwa laini vipakwe usoni,inaruhusiwa inasafisha ngozi na kuifanya iwe na mng’ao.
Niko poaPoa bob mzima?
SanaHahaha
Ndio ili muwe na afya njema ya kugonga likesNiko poa
Naona unatupa madini ya afya
Mzima kabisa my dearISIS mzima!?