Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Poa tu, za wewe Bob!?Mambo vipi babe s
Mambo vipi numbisaKama dawa:
Viazi mviringo vichache vinapikwa kwenye kifuniko kama mboga za majani kama vikiliwa kwa kawaida,itapunguza mawe yote kwenye figo.
Mama unatisha sanaKama dawa:
Njegere zilizo chemshwa zinabidi zitumike kila siku kwa wagonjwa wa upungufu wa damu.Protini ya njegere inayeyusha damu iliyoganda vizuri.
Poa bob mzima?Mambo vipi numbisa
HahahaMama unatisha sana