Mimi mmoja wapo,ila wanajinyonga sababu ya mpira,makala za Wenger za afya napenda kuzisoma.Weuwee wakati mashabiki wake kila kukicha wana hamu ya kujinyonga,wengine wana presha tupu
Imekuwa chanzo cha vitamin A,imetumainika kuzuia matatizo ya macho.
Imekuwa chanzo cha vitamin A,imetumainika kuzuia matatizo ya macho.
Nusu ya nyanya mbivu zinatumika wakati wa miezi ya majira ya joto kama zinavyozuia sunstroke na mapigo ya moyo.
Juisi ya nyanya inaiweka alkali ya mishipa ya damu na hivyo ina dumisha kinga kwa ugonjwa.
Unatuacha hili somo la viaziKiazi kibichi(juisi au vipande)vinasaidia kuponya sehemu iliyoungua haraka.
Sauti uliyotoa hapa imenitoa nyoka pangoni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa Kibaya ooppss sorry
Kichwa Kichafu