mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,370
- 6,533
Bangi si nzuri kwa afya yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...acha nirudi kulala mieUfuuuuuu....afadhali.Kama ni kupika sawa
Nsamaka mzima?Jambo la kheri
HahahahaBangi si nzuri kwa afya yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...acha nirudi kulala mie
Nasikia zipo bandari ya Mbambabay zimepitia njia ya huku....Hizo Noah zimefikia wapi?
Basi pole...Yaani weweee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
Ukilala halafu mhogo utaushikaje nikikuletea?Bangi si nzuri kwa afya yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...acha nirudi kulala mie
Nahisi ni ndotoWakili wa Kenya atoa posa kwa Malia Obama
Ni ndoto au azimio?
Nchini Kenya wakati rais wa Marekani Barrack Obama akitarajiwa kuzuru taifa hilo mwezi ujao, mwanamme mmoja amejitokeza kutoa posa ya kutaka kumuoa binti ya Obama Malia ambaye ana umri wa miaka kumi na Sita. Felix Kiprono ambaye ni mwanasheria ameliambia gazeti moja nchini humo kwamba yuko tayari kutoa mahari ya ngombe hamsini, kondoo sabini na mbuzi thelathini endapo posa yake itakubalika.
[HASHTAG]#GlobalNewsbeat[/HASHTAG] ------> https://soundcloud.com/bbcswa…/bbc-global-newsbeat-kiswahili
![]()
Ugali upo singo??Karibuni ugali
Hamjakutana nae kwa kichwa? Au unataka kuamsha dude ...Nsamaka mzima?
Haha[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ukilala halafu mhogo utaushikaje nikikuletea?
Na samakiUgali upo singo??
Si na mikono au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Ukilala halafu mhogo utaushikaje nikikuletea?
AsanteBasi pole...
Super cupOuh
Eufa super cup?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa kukimbiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamjakutana nae kwa kichwa? Au unataka kuamsha dude ...