andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Tafuta ile basi,watu wapate kutembea kichwa juu kwa mwendo mrefuHahahaha
Tafuta ile basi,watu wapate kutembea kichwa juu kwa mwendo mrefuHahahaha
Hahah tatizo mpaka utafiti nao mpaka nichunguze kwanza mtu mmoja ndo dawa ipatikaneTafuta ile basi,watu wapate kutembea kichwa juu kwa mwendo mrefu
Heri kwa walevi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameanza! Muda si mrefu utasikia kuwa hii ndiyo sababu kubwa Afrika hatujaendelea...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hamna ila magurumashiWameanza! Muda si mrefu utasikia kuwa hii ndiyo sababu kubwa Afrika hatujaendelea...
Asia na Japan kule wali ndo chakula kikuu na chenyewe ni carbohydrates tupu. Au carbohydrates za mahindi ni mbaya zaidi? Ufafanuzi wa kisayansi plizi....