Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
00:3900:24
Not to that extent. Muziki ukipigwa mi sichagui wimbo kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SYB anapenda walio barikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha.Ila kutokua hata na kademu Cha kuchat nacho tuu nimateso wallah.
KeshoMalizia sentensi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nikikushika nakupasua
Sawa na kukabidhi butcher kwa.....Zawadi napokea mimi
Hatari mkuuu huu ukame hatari, huu mtandao wa simu naotumia nawanufaisha Sana vifurushi hata robo havitumiki hamna kademu hata kakusumbuaHahahahaha.
Tena kwq hali ya juu
[emoji23]Usiusemee moyo[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kitu cha[emoji240][emoji240][emoji240]
Hiyo mida lazima nistuke hata ni buy time kwa Dakika 5saa 8 mpaka saa 9 usiku ni muda ambao ni mara chache sana kumkuta mtu hajalala
Maisha ni kukomaa. Bila kukomaa mambo hayaendi aisee. Uzi huu karibia unavunja rekodi zote hapa JF. Na hii yote hata miezi miwili haijaisha...
[emoji28][emoji28][emoji28]niache huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]mnajua kujitetea khaa
Hata kwa mbwembwe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka ipite na makelele??[emoji23][emoji23][emoji23]