Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Ataishia kuchoraKabisa naona anatuchora tu
Ataishia kuchoraKabisa naona anatuchora tu
Raymond ReddingtonSeason 1
Season 2
Season 3
Huku kwema bro. Usiwe unapotea sana. Shemeji yangu Carba anapata shida sana akiwa peke yake hapa !!!Broo ni mimi nimegundua natakiwa kusoma pia sio ku like peke yake. Kwema kipande hicho
Ndugu yanguKichwa kichafu
Mzee wa mipira iliyo kufa
Wana karibu miaka miwili. Uzi huu haujafikisha hata miezi miwili. Hakuna hata haja ya kujilinganisha nao!
Maana huwa wananivunja mbavu sana kwa utani wangu alikimbia kabisaHahhaha jaman
Uzee bado shemeji. Kama ni wimbo sasa ndiyo umefika kwenye korasi au pale ambapo rapa wa bendi ndiyo anaibuka ili kukoleza mambo![]()
[emoji124] [emoji124] [emoji124] uzee huu......