Kabisa na hapa kijijini tunategemeanaTrue,wewe ukijua hili wenzio wanajua lile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa mafinga for 3years na nilikuwa napenda nyama choma hakuna mfano kuna kipindi nawaza kama sijawahi kula iyo kitu aisee mana si kwakupenda nyama kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh
Hahhaha jamanHata fenesi ilikuwa afadhali hadi leo nikikitana nae nikamkumbusha majanga hayo maana siku muacha salama hiyo siku kwa kumtania
We nitazame tu[emoji23] [emoji23][emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Ila leo umekuja kwa shari si kwa picha za osha vyombo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]