myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:46
Lala kwanzaKweli leo ni jumatatu,watu wamechoka uzi umepoa
Bado mwezi mmoja ifike 9 9 nipo najiandaaAu ndio maandalizi ya 8 8
Siku ya jmosi na j pili kuna mechi nyingi sana,mtu akiliwa jmosi anajipa moyo ataweka mzigo jpili so haweki mzigo tena,ila akiliwa jpili hakubali anaweka tena,na tena akijua asipokula pale weekend inakua inaisha vibayaKwa nn Bob12
Kumbe unaona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chombo cheusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harakati kidogo hapa na paleNdugu yangu leo ulipotea
Leo unakana wakati kipindi kile ulikuwa unanisumbua nikununulieHapana hiyo kitu labda umwalike KK mana anakula yeye
Aache watu waendelee kugawa loveLala kwanza
Mkuu
Tumuanze mtoa mada numbisa, aweke pilpili kwenye kidonda kisha,alete mrejeshoAmenukuu tafiti lakini hii ya kidonda tunaweza anza na wewe unasemaje
nsamaka..........Nakusalimu
Amna ina unyama wa hatari jina Hilo aliendani na content kabisaEe bwana eee
Kama sikosei hii ni love story movie
Lala mnono bibieJamani napita kuwapa usiku mwema.