Sijausoma uzi lakini siku ukifungua shemeji nitonye. Tena ajiri mabinti wakali wa kuosha nywele na kufanya massage...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara yangu ya kwanza kwenda hizi saluni nina hela zangu za ng'ombe nikanyolewa halafu binti akaanza kuniosha kwa maji vuguvugu kwa mbele huku kaniinamia mpaka embe dodo zinanichoma usoni. Kuangalia kumbe tupo kwenye kachemba peke yetu. Nikaona hapa hela za ng'ombe zitapigwa hapa. Akamaliza nikamwona kama sauti imebadilika ameanza kulegea nikatoka kwenda kaunta kulipa. Nikasema aise nimeponyoka na mpaka leo sijaenda tena katika hizi saluni. Ni mtego mkali sana !!!