Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha wasukuma wanaonewa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu mjanja mjanja huyu si ajabu Mchaga huyu. Otherwise tungesingizia kuwa ni Msukuma au wa kuleeeeee Tukuyu kwa akina Andjul !!!
Kuna haja ya kuandamana ili wenye misambwanda wawe huru kuzunguka mitaani bila kubugudhiwa na wahuni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema shemeji....
Hahahahaha
Dah
Haya maneno sijui mnayapata wapi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mfuga kuku[emoji23][emoji23][emoji23]
Kisasi ni cha Mwenye Enzi Mungu
Bin adamu utakiwi kuweka kisasi
Hiyo ni kazi ya Mola wetu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huo mkono ni wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mihogo sh.ngap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usinilishe maneno weweeeeeMkuu utaki kulala
Hahahahaha nimekupata
Unamaanisha kichwa kipi
Wewe mzee sio kabisa
Shida tupuHii ni kweli. Watoto hujawapeleka kijijini kuwaona ndugu zao halafu unawalazimisha eti ongeeni na binamu, mara ba mdogo mara hivi. Wakati mwingine hata lugha ya huko kijijini hawaijui...
Hahahahaha bahati mbaya masaki hatuna bahari ya public kuogelea jitahidi kufika coco this weekend I hope utaenjoyNashukuru kwa ushauri wako,kesho nitaenda kuogolea Masaki kwa....