Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahah sawa boss
Kitaaluma mimi ni mwalimu. Japo niliachana nao lakini bado ualimu ungalimo damuni kabisa. Once a teacher always a teacher [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Shimba akiamua kufafanua kitu hadi raha unaelewa vizuri mno
AMUN RA*Tulipokuwa WATOTO Tulitumia PENSELI lakini UKUBWANI Tunatumia PENI.... MAKOSA ya UTOTONI ni RAHISI kufutika sababu pencel ina kifutio lakini UKUBWANI NI VIGUMU kwa vile PEN haina kifutio hivo kuwa MAKINI na mwangalifu katika MAISHA ishi na watu vizuri ili usifanye makosa kwani watu hukumbuka mabaya zaidi kuliko mema unayowatendea! Hii ni sadaka nakupa Rafiki yangu mpe nawe unayempenda
Ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naongelea cha huku juu weweHahahaa kumbe hakilalagi uwiiii
Hahahahaha*Wanaume Mungu anawaona. Baba kasevu jina la kimada M-pesa Mke akaona SMS inaingia kutoka m-pesa "nimekumisi" mke akasema duh maisha magumu kweli mpaka M-pesa wanamisi watu???? [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Wala usiogope kusuntwa ni maelekezo tu hayoMi naogopa kuswutwa
Asalale, aseee we miss kweli ni from Tanga.Kibamia na muhogo hapa unaweza pata ugali wa mlenda
Haha hata mie nimewaza hicho hicho chenye upara. Kwan wewe umewaza wapi?Ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naongelea cha huku juu wewe
Japo afya ya macho
Hivi ndiyo umekuja mazima au umetoroka kazini?Toa likes pata likes
Huko sikutaki nataka wale waliopotea njia wakajikuta huku ndio wazurHahahahaha.
Mkuu ungeenda na kwenye jukwaa la love connect naona ungefanikisha dhumuni lako kwa, haraka.
MaRepublican watamstopisha !!!
Tiffany Trump ni Mtoto wa ngapi na kwa mama yupi kwa Billionea Trump
Hii ni kweli. Watoto hujawapeleka kijijini kuwaona ndugu zao halafu unawalazimisha eti ongeeni na binamu, mara ba mdogo mara hivi. Wakati mwingine hata lugha ya huko kijijini hawaijui...
Siasa kidogo (isiwe kashfa) Dini kidogo (pia isiwe kashfa).. Ucheshi, Udaku, Utani, Michezo, Sayansi vyote vinaruhusiwa.cKaribu. Tungependa uwe hapa pamoja nasi tukuambukize vicheko na furaha nyinginezoTunaongea sayansi?