Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mvua ya likes. TOA LIKES POKEA LIKES !!!
HahahahahaHuo mpapai unafanya mambo ya kikubwa wakati bado mdogo
Mkuu nakili napenda chakula chenye pilipili ndio maana nilitaka mwongozo kutoka kwa Mama wa afya Numbisamzee wa liver kula pilipili hizo.
Pilipili kichaa
Pilipili mbuzi
Na nyingine zote.
Tunakula pilipili hadi pua inawaka moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mkuu
YapStress free zone.
Asantee pia
Asanteni sana kwa hili napenda sana pilipiliKuna kabila moja katika msitu wa Amazon wanakula sana pilipili, na hawapati kansa kirahisi hasa kansa za matumbo, kinywa, na utumbo wa chini. Wanasayansi wamesema kuwa sababu kubwa ni ulaji wa pilipili na wanapendekeza kwamba kula chakula chenye pilipili japo mara moja tu au mbili kwa wiki kunatosha KUMKINGA (siyo kumtibu) mtu na aina mbalimbali za kansa hasa zinazoshambulia utumbo na viungo vingine vya ndani. Hii imethibitishwa kisayansi kwa utafiti mrefu uliochukua zaidi ya miaka 25 na kuchapishwa katika reputable peer reviewed scientific journals.
Hahahaa kumbe hakilalagi uwiiii[emoji124] [emoji124] [emoji124] mwanzo mwisho wa somo lako sijaona elimu ya kutibu kichwa kisilale
Asanteni sana kwa hili napenda sana pilipili
Amen!Muumbaji ni yule yule mmoja na kila mmoja ni mrembo kivyake. Jina lake Litukuzwe!!!