Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekupata mkuu. Magerezani huko kuna watu wanasota wengine kwa kesi ambazo hazina hata kichwa wala miguu.Naongelea ubinadamu mkuu,bila kujalisha yeye ni nani na ana nini
Anakabiliwa na kesi gani ambayo imemfanya wamng'ang'anie namna hii?