Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mzee wa liver
Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofauti tofauti ikiwemo moyo,

gauts,
kupooza
homa,
kikohozi,
tonsilatis,
kichefuchefu
hemorhoids

kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.
mzee wa liver kula pilipili hizo.
Pilipili kichaa
Pilipili mbuzi
Na nyingine zote.


Tunakula pilipili hadi pua inawaka moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hivyo basi tunaweza kupata vitamini C kupitia chakula.c.Vitamini K-Husaidia katika ukuwaji wa mifupa,pia ni muhimu katika mzunguko wa damu.Pilipili zote huwa na Capsaicin ambayo kazi yake ni kupunguza maumivu,kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.
Kuna kabila moja katika msitu wa Amazon wanakula sana pilipili, na hawapati kansa kirahisi hasa kansa za matumbo, kinywa, na utumbo wa chini. Wanasayansi wamesema kuwa sababu kubwa ni ulaji wa pilipili na wanapendekeza kwamba kula chakula chenye pilipili japo mara moja tu au mbili kwa wiki kunatosha KUMKINGA (siyo kumtibu) mtu na aina mbalimbali za kansa hasa zinazoshambulia utumbo na viungo vingine vya ndani. Hii imethibitishwa kisayansi kwa utafiti mrefu uliochukua zaidi ya miaka 25 na kuchapishwa katika reputable peer reviewed scientific journals.
 
Back
Top Bottom