andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hubiri unachokiamini, amini unachokihubiri...It is as simple as that!
Hubiri unachokiamini, amini unachokihubiri...It is as simple as that!
Amen mkuu. What I have gone through might/may? have killed you !!!Huo ni mfano wa maisha yetu ya kila siku. Kuna vikwazo tunavivuka hata unakuwa hauamini umevukaje?
Shimba nachukia sana siasaHuyu jamaa kosa lake hasa ni nini? Matajiri wanahenya. Masikini wanahenya. Maisha haya bana!
Ulikuwepo wakati wa vita vya Kagera?
HahahahahaMihogo ya Tukuyu hii. Si ajabu ndiyo anayotaka kupelekewa shemeji Carba hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na risiti lazima utoeKodi lazima ilipwe 😀😀
Itabidi tuanze kuwataja sasa. Siku yako inaendeleaje Myoya?wapita njia wanaenda kinyume na uzi wetu
wanaposti na kukimbia kusubiri 'likes
weka 'likes' unapo posti ila uwekewe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]GeJo amekuambia au mpashunaku carba kaharibu?Si kwema naona figisu zako kama viongozi wa tff
Safii princess...u hali ganii?..
Ndio mkuu,bado nasafisha nyotaSafi mkuu bado huko maji chumvi
Pokea likes mkuu tuendelee kuwakumbushaawapita njia wanaenda kinyume na uzi wetu
wanaposti na kukimbia kusubiri 'likes
weka 'likes' unapo posti ila uwekewe...
Asante Numbisa kwenye gauts hapo sawa napenda sana mbuzi choma na pilipili kwa hiyo matibabu juu kwa juumzee wa liver
Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofauti tofauti ikiwemo moyo,
gauts,
kupooza
homa,
kikohozi,
tonsilatis,
kichefuchefu
hemorhoids
kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.
Raha ya macho hadi porini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Soon..
Amen[emoji120]Cha muhimu tuko salama. Tumshukuru Mungu!
Ndio ni sikukuu ya nane nane
Amen shemeji. Nsamaka wangu hajambo?