Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakili wa Kenya atoa posa kwa Malia Obama
Ni ndoto au azimio?

Nchini Kenya wakati rais wa Marekani Barrack Obama akitarajiwa kuzuru taifa hilo mwezi ujao, mwanamme mmoja amejitokeza kutoa posa ya kutaka kumuoa binti ya Obama Malia ambaye ana umri wa miaka kumi na Sita. Felix Kiprono ambaye ni mwanasheria ameliambia gazeti moja nchini humo kwamba yuko tayari kutoa mahari ya ngombe hamsini, kondoo sabini na mbuzi thelathini endapo posa yake itakubalika.
[HASHTAG]#GlobalNewsbeat[/HASHTAG] ------> https://soundcloud.com/bbcswa…/bbc-global-newsbeat-kiswahili

11058760_991527380865927_5628701259811498034_n.jpg



Yule Mmasai aliyetoa ng'ombe 30 alifika wapi?
 
laana nyingine hii hapa:

Mama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na Wameamua Kuoana






Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka uhusiano wao kwenye level nyingine ya ndoa huku tayari mama huyo akiwa na ujauzito wa miezi sita aliopewa na mwanae.
Watazaa matoto mazezeta si kwa laana ya Mungu bali laana ya Gregory Mendel...
 
Back
Top Bottom