mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Together we can
Together we can
Amen.Tuyaishi tunayoyaaminiAmen mkuu. What I have gone through might/may? have killed you !!!
Na moto mkali ndiyo hufua almasi isiyo na mawaa !!!
Nikweli mama wa afya anaokoa jahaziMkuu nakili napenda chakula chenye pilipili ndio maana nilitaka mwongozo kutoka kwa Mama wa afya Numbisa
Tupo tupo tupoRafikiii mko poa..
Hatari sanaAkiwa na myoya wanasogeza gurudumu mida hiyo
Ufafanuzi bora kabisa asante sana shimbaKuna kabila moja katika msitu wa Amazon wanakula sana pilipili, na hawapati kansa kirahisi hasa kansa za matumbo, kinywa, na utumbo wa chini. Wanasayansi wamesema kuwa sababu kubwa ni ulaji wa pilipili na wanapendekeza kwamba kula chakula chenye pilipili japo mara moja tu au mbili kwa wiki kunatosha KUMKINGA (siyo kumtibu) mtu na aina mbalimbali za kansa hasa zinazoshambulia utumbo na viungo vingine vya ndani. Hii imethibitishwa kisayansi kwa utafiti mrefu uliochukua zaidi ya miaka 25 na kuchapishwa katika reputable peer reviewed scientific journals.
Maana ananishangaza huyu carbamazepineHahahahaha
Nadhani ni JD
Hahahhaa hatariInabidi aanze machoni kwanza ndio atajua kwenye kidonda itakuwaje
Shimba nachukia sana siasa
Hasa za visasi nothing wrong with these guy
Mambo yako court wacha tusubiri
Mkuu mkuuMkuu
Nenda kwenye misitu ya tao la mashariki, kwenye magenge (gorge) za milima ya uluguru huko Kinore utapata
Mkuu mkuu